OUR VISION, MISSION, OBJECTIVES, AND MEMBERS

MAONO:VISION

Kuwa na vijana walioelimika kiroho,kimwili na kuwajibika kikamilifu kwa jamii na Mungu.

UTUME: MISSION

Kuendeleza kazi ya kuboresha maisha ya vijana kwa kuwaunganisha vijana,kuwapa elimu ya Neno la Mungu na stadi za maisha,kuwafunza maadili mema,kuwasaidia kuwa na bidii katika kazi za uzalishaji ,na kujiepusha na mambo yanayohatarisha maisha yao.

MALENGO: OBJECTIVES

-Vijana wasichana na wavulana kwa pamoja kushirikiana katika kuyaongoza maisha yao katika mambo mbalimbali ya kiroho,kwa kuwa na uongozi wao na ulezi wa kanisa.

-Kutambua fursa zilizopo na zinazotuzunguka na kuzitumia kwa pamoja katika ujenzi wa kanisa na maisha kwa ujumla

-Kuibua, kuendeleza na kutumia vipaji katika kuitangaza injili kwa watu wote.

-Wakiongozwa na Roho Mtakatifu kujenga tabia zao,Nchi yao,Kanisa lao kwa kujiunga katika mawazo na matendo ya kumpendeza Mungu sawasawa na Neno lake.

-Kushirikiana na vijana wengine ndani na nje ya nchi

-Kuwa na vijana waliompokea Yesu Kristo kuwa Bwana wa maisha yao.

-Kujitagemea katika mahitaji ya kimwili ikiwa njia ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa.

-Kukuza ujuzi wao kiroho na kiakili kwa njia ya kujifunza Neno la Mungu na maarifa mbalimbali ya kimaendeleo na kiuchumi.


WALENGWA: MEMBERS

VIJANA WOTE WALIO NDANI YA KANISA NA NJE YA KANISAWENYE UMRI KUANZIA MIAKA 15-45

Tuesday, December 24, 2013

Mungu ni mwema kwetu vijana!



Harvest choir Anglikana Morogoro katika uimbaji!


Harvest choir!


Vijana wa kwaya ya Harvest Anglikana Morogoro wakiwa katika uimbaji!


Vijana wakipiga muziki wa Yesu!


Tumshangilie Mungu!


Waimbaji wa kwaya ya Harvest wakimtukuza Mungu!


Vijana wakimtukuza Mungu kwa furaha!


Vijana wa kwaya ya J.G.M wakiwa katika mazoezi ya muziki!


Furaha na Amani ya kweli inatoka kwa Mungu!


Vijana wakiwa wanaimba kwa furaha!


vijana kanisani!


Mungu wetu ni mwenye nguvu!


Kumcha Mungu ni chanzo cha mafanikio!


Vijana walipokuwa wakisikiliza neno la Mungu!


Neno la Mungu ni Dira ya maisha!


Monday, December 23, 2013

Kusanyiko la Vijana Kanisani!


Vijana wakisikiliza neno la Mungu.


TAMASHA KUBWA LA UIMBAJI!

Uongozi wa vijana wa kanisa Anglikana Morogoro unapenda kuwakaribisha katika tamasha kubwa la uimbaji litakalofanyika Jumapili ya tarehe 29/12/2013 katika kanisa la Anglikana(utatu mtakatifu) lililopo Manzese Morogoro.Kwaya mbalimbali zitahudumu.Mpendwa usikose!